Home LOCAL MAKAMU RAIS DKT. MPANGO AKIHITIMISHA KAMPENI ZA CCM JIMBO LA MUHAMBWE.

MAKAMU RAIS DKT. MPANGO AKIHITIMISHA KAMPENI ZA CCM JIMBO LA MUHAMBWE.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akimnadi Mgombea Ubunge Jimbo la Muhambwe Wilayani Kibondo MKoani Kigoma Dkt. Florence Samizi kwenye Mkutano wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM kwa ajili ya Uchaguzi Mdogo unaotarajiwa kufanyika tarehe 16 Mei 22021, kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo Hayati Atashasta J Nditiye leo Mei 14,2021.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akiinadi Ilani ya Utekelezaji ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM alipokua akihutubia Mkutano wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM Jimbo la Muhambwe Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma kwa ajili ya Uchaguzi Mdogo unaotarajiwa kufanyika tarehe 16 Mei 22021, kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo Hayati Atashasta J Nditiye leo Mei 14,2021.

Previous articleMADIWANI HALMASHAURI YA JIJID DAR WALIA NA TARURA
Next articleFCS YASHIRIKIANA NA TAASISI YA WAJIBU KUJADILI RIPOTI YA CAG DODOMA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here