Home LOCAL CHAMA CHA WANASHERIA WANAWAKE (TAWLA) CHAFANYA MKUTANO MKUU WA 31 WA MWAKA

CHAMA CHA WANASHERIA WANAWAKE (TAWLA) CHAFANYA MKUTANO MKUU WA 31 WA MWAKA

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Tulia Ackson Mwansasu akizungumza katika mkutano wa 31 wa mwaka wa Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) unaofanyika kwenye Hoteli ya Coral Beach Masaki jijini Dar es Salaam leo Jumamosi 29,2020 Katikati ni  Lulu Ngw’anakilala Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TAWLA na kushoto ni Mwanachama wa TAWLA Flaviana Charles Rwechungura.

Balozi Mwanaidi Maajal Mwanachama wa (TAWLA) akiongoza mjadala katika mkutano huo unaofanyika kwenye hoteli ya Coral Beach Masaki jijini Dar es salaam

Lulu Ngw’anakilala Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya (TAWLA) akimkaribisha mgeni rasmi ili kuzungumza na wanachama wa taasisi hiyo katika mkutano huo.

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Tulia Ackson Mwansasu kushoto, Lulu Ngw’anakilala Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TAWLA na Mwanachama wa (TAWLA) Flaviana Charles Rwechungura wakishiriki katika mkutano huo.

Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wanasheria Wanawake Tike Mwambipile akipiga makofi wakati mgeni rasmi Mh. Dk. Tulia Ackson hayupo pichani alipokuwa akizungumza.

Mwanachama wa (TAWLA) Flaviana Charles Rwechungura akizungumza katika mkutano huo.

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Tulia Ackson Mwansasu kushoto akifuatilia mada katika mkutano huo.

Picha mbalimbali zikionesha wanachama wa Chama cha Wanasheria wanawake Tanzania (TAWLA) wakiwa katika mkutano huo unaofanyika kwenye hoteli ya Coral Beach jijini Dar es salaam.

 

  

   

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here