KATAMBI AKUTANA NA BALOZI WA BURUNDI NCHINI TANZANIA
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Patrobas Katambi amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Burundi nchini Tanzania,Mhe. Balozi Leontine Nzeyimana, ambapo wamezungumza...
NHC YAENDELEA KUGUSA MAISHA YA JAMII: VIKUNDI VYA WAJASIRIAMALI KINONDONI VYAPATA...
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limeendelea kudhihirisha kwa vitendo dhamira yake ya kuchangia maendeleo ya jamii kwa kukabidhi mashine ya kisasa ya kukamulia...
MHE. BALOZI OMAR AKAGUA JENGO JIPYA LA KISASA LA OFISI YA...
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (mwenye shati ya batiki), akisikiliza maelezo ya namna ya kutumia mifumo ya usalama na...
MAKONDA AKUTANA NA RAIS WA CAF JIJINI RABAT
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mheshimiwa Paul Christian Makonda amekutana na Rais wa Shirikisho la Kandanda Barani Afrika (CAF) Dkt. Patrice Motsepe...
DIRA YA KUBORESHA MAKAZI BORA KWA WANANCHI YA NHC YATUA KWA...
- Utafiti na nyumba nafuu zatajwa suluhisho la baadaye
- Kamati ya Bunge yataka utafiti kwa vifaa, teknolojia za kisasa kupunguza gharama za ujenzi
- Enzi...
Dkt. MIGIRO AKAGUA UJENZI JENGO LA OFISI ZA CCM MAKAO MAKUU...
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt.Asha-Rose Migiro akiwa ameambatana na Naibu Katibu Mkuu Bara Ndugu John Mongella,leo Januari 17,2026 amekagua maendeleo...







