AZAM FC YAIPIGA BIASHARA UTD 2-0
DAR ES SALAAM.AZAM FC imeibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Biashara United katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku wa kuamkia...
RAIS DK.MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MRATIBU MKAZI WA UN NCHINI...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa...
TBS NA TAFFA WAKUTANA KUJADILI NI NAMNA GANI WANAWEZA KUBORESHA HUDUMA...
Kaimu Mkurugenzi wa Udhibiti Ubora (TBS) Bw.Mosses Mbambe (katikati) akifuatiliakikao kazi na Chama cha Mawakala wa Forodha (TAFFA) kilichofanyika leo katika ofisi...
DAWASCO YAFIKA KWA WANANCHI KUTOA ELIMU MABADILIKO YA BILI ZA MAJI.
Baadhi ya Watumishi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) wakitoa elimu ya mabadiliko ya usomaji mita na...
NIC WADHAMIN DAR CITY MARATHON.
DAR ES SALAAM.Shirika la Bima la Taifa (NIC) limedhamini mbio za Dar City Marathon zinazotarajiwa kufanyika tarehe 23 mwezi Mei mwaka huu...