SOSTENETH MAKERO
WAFANYABIASHARA TUENDELEE KUWA NA IMANI NA RAIS SAMIA – MAJALIWA
▪️Ampongeza Kamishna TRA kwa kusimamia Weledi patika ukusanyaji wa kodi
▪️Atembelea kiwanda cha uchakataji mazao ya parachichi
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amezitaka jumuiya za wafanyabiashara nchini...
VIONGOZI WA VIJIJI NA VITONGOJI MSIWARUHUSU WAGENI KUPORA ARIDHI – WASIRA
Na Mwandishi Wetu, Karagwe
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira, amewataka viongozi wa vijiji na vitongoji kutowaruhu wageni kutoka nchi jirani kuingia...
TAASISI ZA ULINZI WA MLAJI ZIMETAKIWA KUSHIRIKIANA NA FCC
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Suleimani Jafo, amezitaka taasisi zote za serikali zinazohusika na ulinzi wa mlaji kufanya kazi kwa pamoja ili kuhakikisha...
BENKI YA ABSA TANZANIA NA WORLD VISION TANZANIA WASHIRIKIANA KUBORESHA UPATIKANAJI...
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Absa Tanzania, Bw. Obedi Laiser (wa pili kushoto) na Mkurugenzi wa Miradi wa Shirika la World Vision Tanzania, Bi....
WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI MAKOREMO-MGONGORO
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 12, 2025 ameweka jiwe la msingi la Mradi wa Upanuzi wa Mtandao wa Majisafi ya Ziwa Victoria kutoka...
“Stori za Afya za Wanawake wa Tanzania zina thamani kwetu”, Absa...
Baadhi ya Wafanyakazi Wanawake wa Benki ya Absa Tanzania kupitua umoja wao uitwao ‘Red Skirts’ wakiwa katika picha ya pamoja na madaktari pamoja na...