HUGHES DUGILO
MHE. MARY MASANJA AWATAKA ASKARI UHIFADHI KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) akizungumza na Maafisa na Askari Uhifadhi alipotembelea Hifadhi ya Pori la Akiba Kijereshi...
TANZANIA HUTUMIA NUSU TRIONI KUAGIZA MAFUTA YA KULA.
Na: Lucas Raphael,SingidaWaziri wa Kilimo Prof. Adolf Mkenda amesema kwamba Tanzania hutumia Nusu Trioni kwa mwaka kuagiza mafuta ya kula kutoka nchi za...
MAKAMBA AZISHUKURU NORWAY SWEDEN NA SAUD ARABIA
Waziri wa Nishati, January Makamba (kulia) akizungumza na Balozi wa Norway nchini Tanzania, Balozi Elisabeth Jacobsen wakati alipokuwa na kikao na balozi huyo ...
ATUPWA JELA MIAKA 30 KWA KOSA LA KULAWITI
Na: Lucas Raphael,TABORAMahakama ya hakimu mkazi wilaya ya nzega mkoani Tabora imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela mkazi wa Kijiji cha wita kata ya...
IHOMBWE WAMSHUKURU DC KURUHUSU UJENZI WA DARASA NA NYUMBA YA WAUGUZI
Ofisa Mtendaji wa Kijiji cha Ihombwe, Mikumi wilayani Kilosa Vashty Chimwile akitoa taarifa kuhusu Usimamizi Shirikishi wa Misitu katika kikao kilichofanyika kijini hapo wakati...
TFF KUSAKA VIPAJI DAR
Mwandishi wetu.SHIRIKISHO la Tanzania (TFF) litaendesha zoezi la kusaka vipaji vya wanasoka chipukizi kwa siku mbili mfululizo Dar es Salaam.