Home LOCAL WAZIRI MKUU ASHIRIKI JUBILEI YA MIAKA 25 YA UASKOFU WA ASKOFU MSAIDIZI...

WAZIRI MKUU ASHIRIKI JUBILEI YA MIAKA 25 YA UASKOFU WA ASKOFU MSAIDIZI MSTAAFU METHOD KILAINI

 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza Askofu Msaidizi Mstaafu, Method Kilaini katika Jubilei ya Miaka 25 ya Uaskofu wa Askofu Msaidizi Mstaafu Method Kilaini kwenye Kanisa Kuu la Jimbo Katoliki la Bukoba, Machi 19, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo (kulia) na Askofu Msaidizi Mstaafu Method Kilain katika Jubilei ya Miaka 25 ya Uaskofu wa Askofu Msaidizi Mstaafu Kilaini iliyofanyika kwenye Kanisa Kuu  la Jimbo Katoliki la Bukoba, Machi 19, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Maaskofu Katoliki baada ya Ibada ya Jubilei ya  Miaka 25 ya Uaskofu wa Askofu Msaidizi Mstaafu Method Kilaini kwenye Kanisa Kuu la Jimbo Katoliki la Bukoba, Machi 19, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)