Jina langu ni Beatrace, katika maisha yangu hapo awali sikuwahi kuolewa. Nilizaa watoto wawili na maisha yakaendelea, hivyo sikubahatika kupata mume wa kunioa rasmi aniweke ndani kama mke wake.
Sasa nilikuwa na rafiki yangu, sisi tulikuwa marafiki zaidi ya miaka 15 toka wadogo tukisoma, yeye aliolewa na akawa na maisha yake lakini urafiki ukaendelea.
Sasa akafariki, nikaendeleza ukaribu na familia yake (watoto na mume wake) tumeishi hivyo mpaka tukajikuta tunaingia kwenye mahusiano ambayo yaliniumiza hadi nilipoenda kwa Kiwanga Doctors.
Sasa mimi nikaamua kuachana na mwanaume wa mtu niliyekuwa nae nikaendelea na huyu sababu niliona kama ana mapenzi ya kweli. Aliahidi atanioa ili nilee watoto wa rafiki yangu aliyemuachia watoto watatu.
Sasa ile wiki ya Christmas akapotea ghafla akawa hapatikani. Kwake alikuwa hayupo watoto kawapeleka kwa ndugu zake, yeye hakuniaga anaenda wapi. Kumbe ana mahusiano mengine na msichanaa mdogo tu na yuko kwenye hatua za kumuoa.
Iliniumia sana, yaani alikuwa ananiahidi ndoa wakati anajua kiu yangu. Nimemlelea watoto kama mama yao miaka miwili na kumpa mapenzi yote lakini anakuja kunilipa haya. Ina mana alikuwa ananitumia kupona kutoka kwenye maumivu ya kufiwa?.
Nilishajiamini kama nitaolewa hata kama ni ndoa ya uzeeni lakini mwanaume mwenyewe anaonekana hakua na mpango na mimi. Kiukweli niliumia sana maana mwanaume wa kwanza aliniacha nikiwa na mimba akaenda kuoa.
Mwanaume wa pili akaniacha baada ya kujifungua mtoto wangu wa pili akaenda kuoa. Huyu nae ananiacha bila taarifa anaenda kuoa kitoto kidgo kabisa.