Home INTERNATIONAL RAIS SAMIA AKUTANA NA NAIBU KATIBU MKUU WA UN AMINA MOHAMED

RAIS SAMIA AKUTANA NA NAIBU KATIBU MKUU WA UN AMINA MOHAMED

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bi. Amina Mohamed Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Januari, 2025.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!