Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kufungua Skuli ya Sekondari Makoba iliyoko Kaskazini Unguja ikiwa shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Januari 5, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi alipowasili kwenye uwanja wa Ndege Abeid Amani Karume Zanzibar ambako alifungua Skuli ya Sekondari Makoba iliyoko Kaskazini Unguja ikiwa shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Januari 5, 2025. (Picha na Of isi ya Waziri Mkuu)
Wananchi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozungumza baada ya kufungua Skuli ya Sekondari Makoba iliyoko Kaskazini Unguja ikiwa shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Januari 5, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akimsikiliza Mwanafunzi, Ali Mustafa alipotembelea Maktaba ya Skuli ya Sekondari Makoba iliyoko Kaskazini Unguja baada ya kufungua Skuli hiyo ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar, Januari 5, 2025. Wa pili kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Khamis Abdallah Said na wa pili kushoto ni Mkurugenzi Mkuu, Bodi ya Huduma za Maktaba Zanzibar, Dkt. Ulfat Abdulaziz Ibrahim. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wanafunzi alipogua madarasa kabla ya kufungua Skuli ya Sekondari Makoba iliyoko Kaskazini Unguja ikiwa shamrashamra za Maadhimisho ya Maka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Januari 5, 2025. Kushoto wake ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Leila Muhamed Mussa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe alipofungua Skuli ya Sekondari Makoba iliyoko Kaskazini Unguja ikiwa shamrashamra za Maadhimisho ya Maka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Januari 5, 2025. Kulia kwake ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Leila Muhamed Musa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana viongozi kwenye Uwanajwa wa Ndege wa Abeid Amani Karume, Zanzibar baada ya kufungua Skuli ya Sekondari Makoba iliyoko Kaskazini Unguja ikiwa shamrashamra za Maadhimisho ya Maka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Januari 5, 2025. Julia kwak ni Waziri wa Elimu na mafunzo ya Amali Zanzibar, Leila Muhamed Musa. (Picha na Of isi ya Waziri Mkuu