Home LOCAL WAZIRI MKUU AKUTANA NA VIONGOZI WA KANISA LA ANGLIKANA TANZANIA

WAZIRI MKUU AKUTANA NA VIONGOZI WA KANISA LA ANGLIKANA TANZANIA

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Maalum, Profesa Palamagamba Kabudi (wa tatu kulia) pamoja na ongozi wa Juu wa Kanisa la Anglikana Tanzania baada ya mazungumzo yaliyofanyika ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Januari 19, 2026. Wengine kutoka kushoto ni Canon Dkt. George Otieno Lawi, Katibu Mkuu wa Kanisa Anglikana Tanzania, Askofu Dr Dickson Chilongani, Chancellor wa St John’s University of Tanzania na Askofu wa Dayosisi ya Central Tanganyika, Dodoma, Prof Chasmir Rubagumya Deputy Vice Chancellor Planning, Finance and Administration  St John’s University of Tanzania (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!