Home LOCAL KISHINDO CHA DKT. MIGIRO, AKIWASILI UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE

KISHINDO CHA DKT. MIGIRO, AKIWASILI UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi-CCM, Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, leo tarehe 13.1.2026 amewasili katika ukumbi wa Diamond Jubilee kwa ajili ya kuzungumza na mabalozi wa mashina wa wilaya ya Ilala, Mkoani Dar es salaam.

Leo ikiwa ni hitimisho ya ziara yake ya kimkakati ya siku tatu mkoani Dar es salaam iliyobeba kauli mbiu isemayo #ShinaLakoLinakuita#.

Tayari ameshafanya ziara katika wilaya ya Temeke, Kigamboni, Kinondoni na Ubungo.