Home SPORTS RAIS DKT MWINYI AKIKAGUA UJENZI UWANJA WA ZANZIBAR SPORTS COMPLEX

RAIS DKT MWINYI AKIKAGUA UJENZI UWANJA WA ZANZIBAR SPORTS COMPLEX

WhatsApp Image 2025-11-18 at 12.03.44 (1).jpeg
Muonekano wa Ujenzi Uwanja Wa Zanzibar Sports City Uliopo Fumba, Mkoa wa Mjini Magharibi 

WhatsApp Image 2025-11-18 at 12.03.44.jpegRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh,Dkt Hussein Ali Mwinyi, akisikiliza Maelezo ya  Mradi wa Uwanja wa Zanzibar Sports City kutoka kwa Mmiliki wa Kampuni ya ORKUN GROUP  Inayotekeleza Ujenzi wa Uwanja huo leo tarehe 18 Novemba 2025 

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

0U6A6596_DxO.jpgRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh,Dkt Hussein Ali Mwinyi, akiangalia Ramani ya Mradi wa Uwanja wa Zanzibar Sports City (PICHANI KULIA) Mmiliki wa Kampuni ya ORKUN Inayotekeleza Ujenzi wa Uwanja (KUSHOTO) Mhe Riziki Pembe Juma Waziri Mpya wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo

WhatsApp Image 2025-11-18 at 12.53.25.jpeg
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameutembelea mradi wa kimkakati wa Zanzibar Sports City uliopo Fumba, Mkoa wa Mjini Magharibi, kwa ajili ya kukagua maendeleo ya ujenzi unaoendelea kwa maandalizi ya Michezo ya AFCON 2027.

WhatsApp Image 2025-11-18 at 12.53.25 (1).jpeg

PICHA 
AHMED ABDULSHAKUR ABDALLA
IKULU ZANZIBAR