Home LOCAL Dkt. NCHIMBI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA LIGANGA PERAMIHO

Dkt. NCHIMBI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA LIGANGA PERAMIHO

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na wananchi wa Liganga, Jimbo la Peramiho, Halmashauri ya Songea Vijijini, Wilaya ya Songea, alipokuwa njiani kuelekea Wilaya ya Nyasa, akiendelea na ziara yake ya siku 5, mkoani Ruvuma, leo Jumamosi tarehe 5 Aprili 2025.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!