Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Rwanda Habib Galus Kambanga (kulia) na Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe Dkt. Suzan Kaganda (kushoto), kwenye Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu Magogoni jijini Dar es Salaam Machi 28, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipeana mkono na Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe Dkt. Suzan Kaganda, kwenye Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu Magogoni jijini Dar es Salaam Machi 28, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipeana mkono na Balozi wa Tanzania nchini Rwanda Habib Galus Kambanga, kwenye Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu Magogoni jijini Dar es Salaam Machi 28, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)