Home LOCAL WASOMI WATAKA CHADEMA WAFUATE USHAURI WA RAILA ODINGA

WASOMI WATAKA CHADEMA WAFUATE USHAURI WA RAILA ODINGA

*Ni wa kuwataka watumie majadiliano kupata ufumbuzi wa masuala wanayoyataka

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Wahadhiri Dk. Richard Mbunda na Dk. Frolence Rutechura wa chuo kikuu cha dar es salaam ambao pia ni wachambuzi wa siasa wamewashauri CHADEMA kufuata ushauri waliopewa na mwanasiasa mkongwe wa kenya Raila Apollo Odinga aliyewataka wakae mezani na serikali kutafuta suluhu ya masuala yao huku wakisisitiza kuwa Odinga ni miongoni mwa wanansiasa waliowahi kuitisha migogoro ya kisiasa nchini mwao lakini baadae alipata suluhu baada ya kukaa mezeni na kujadiliana

Baada ya Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA ) Tundu Lissu , Makamu wake Bara John Heche pamoja na Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho Godbless Lema ku kutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Raila Odinga. Juzi Machi 22, jijini Nairobi nchini Kenya baada ya kutoka Zanzibar walipokwenda kujitambulisha kwa wanachama wao kumeibua mitazamo tofauti ya wabobezi na wachambuzi wa siasa nchini na kufanya watoe maoni yenye mitazamo tofauti 

Katika mahojiano maalum na Dkt Richard Mbunda kutoka chuo kikuu cha Dra es salaam ametoa maoni yake kuhusu kukutana na kufanya mazungumzo baina ya viongozi hao Nchini Kenya , amesema mkutano huo unadhilidha wazi kuwa chama cha CHADEMA kina itafutia hulali kimataifa ajenda yao ya No Reform , No election kimataifa ndio maana wameenda Kenya kukutana na Waziri Mkuu Msitaafu Laila Odinga ili kuonewa huruma 

“Baada ya kukutana na Msajiri wa vyama vya siasa wametanga kuwa watapita kuineza kama ajenda yao kwa watanzania lakini ajenda hiyo pia , wanaitafutia uhalali na wameenda Kenya wamekutana na waziri mkuu wa zamani Mh. Laila Odinga na wamejadiliana kuhusiana na ajenda hiyo na ukisoma taarifa kilicho totana na mkutano wao utagundua pamoja na kwamba odinga nawaunga mkono lakini bado amesisi tiza kwamba angetamani kuona kwamba uchaguzi wa amani ukifanyika inamaana odinga anaamini uchaguzi ni muhimu kwaajili ya usitawi wa siasa na demokrasia Nchini “ alisema Dkt Mbunda 

 Pamoja na hayo , Dkt Mbunda ameelezea dhamira ya Rais wa Awamu ya sita Dkt samia suluhu Hassan ya 4R kuwa huenda CHADEMA Hawakuilewa au hawajaridhika na kuna mambo yameshafanywa makubwa yanayo husiana na madai yao au kama kuna lingiine ambalo CHADEMA wawanalitafuta 

“Mh Samia SUluhu Sahani alivyoingia madarakani alikuja na ile falsafa ya 4R Ambayo anazungumzia Maridhia,Ustahimilivu , Mabadiliko na KujengaUmpya na amefanya vitu vingi ambavyo vinaashiria utekelezaji wa hiyo falsafa ikiwemo kuunda kile kikosi kazi kilichokuwa kina simamiwa na Prof. Rwekaza Mkandala na kimefanya kazi kubwa sana na maoni mengi tuu kwaajili ya kuboresha hali ya siasa hapa Nchini na utagundua kwamba baadhi ya reform zishafanyika labda pengine hazijafanyika katika kiwango kinacho waridhisha chadema ni shwala la mjadala lakini “ alisema Dkt Mbunda 

Aliongeza kwa kusema “utagundua kwa kuwa Mh. Rais ametaka kuwe na majadiliano nakumekuwa na baadhi ya majadiliano inayowajumuisha CCM na CHADEMA wamekutana mara kadha na wamejadilianasasa hatujui haya majadiliano yalikwama wapi kwanini haya kuleta matunda yanayotarajiwa katika kuendeleza huu mchakato wa kuendeleza siasa hapa Nchini lakini unachomsikia waziri mkuu wa zamani Laila Odinga ni kutaka mazungumzo kama yale yaendeleeili wajadiliane ili kuwaondoa wananchi kwenywe taaruki “ alisema 

Hata hivyo Dkt Mbunda amesama katika kuishi kwake na kusikia ajenda ya No Reform , No Election hajaona kama kuna tija wakati hata mtaani hawajui maana yake na haijawafikia