Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule Uturuki hapa nchini Mhe. Bekir Gezer Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Machi, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Japan hapa nchini Mhe. Mikami Yoichi Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Machi, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Equatorial Guinea hapa nchini mwenye makazi yake Kampala nchini Uganda Mhe. Carmelo Micha Nguema Misi Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Machi, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Jamhuri ya Cyprus hapa nchini mwenye makazi yake Nairobi nchini Kenya Mhe. Savvas Vladimirou Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Machi, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Thailand hapa nchini mwenye makazi yake Nairobi nchini Kenya Mhe. Morakot Janemathukorn, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Machi, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Jamhuri ya Kazakhstan hapa nchini mwenye makazi yake Pretoria, Afrika Kusini Mhe. Yerkin Akhinzhanov Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Machi, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Tunisia hapa nchini mwenye makazi yake Nairobi nchini Kenya Mhe. Anouar Ben Youssef Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Machi, 2025.