Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile (kushoto) akirudisha fomu kuashiria utayari wake wa kutetea nafasi hiyo, katika uchaguzi wa viongozi wa Jukwaa hilo utakaofanyika April 4, 2025 Mjini Songea. wengine ni baadhi ya wanachama wa TEF waliojitokeza kumsindikiza.