Home BUSINESS RAIS SAMIA AKISHIRIKI ZOEZI LA KUCHAMBUA MAHINDI MBINGA

RAIS SAMIA AKISHIRIKI ZOEZI LA KUCHAMBUA MAHINDI MBINGA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki kuchambua mahindi bora na wakulima ili kuyauza katika Kituo cha Ununuzi wa Nafaka cha Mbinga – Sokoni, Mkoani Ruvuma tarehe 25 Septemba 2024. 
Aidha, Mhe. Rais Dkt. Samia pia amepokea taarifa kutoka kwa Dkt. Andrew Komba, Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) kuhusu shughuli za uendeshaji wa ununuzi katika Kituo hicho na kukagua mizani ya kidigitali.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here