Home LOCAL RAIS SAMIA AKIWAAPISHA MAWAZIRI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

RAIS SAMIA AKIWAAPISHA MAWAZIRI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Mawaziri kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Dar es Salaam leo tarehe 26 Julai, 2024. Mawaziri hao walioapa ni: Mhe. Jerry William Silaa kuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Deogratius John Ndejembi kuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mhe. Ridhiwani Jakaya Kikwete kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here