Home LOCAL RAIS SAMIA AKIWAAPISHA MANAIBU MAWAZIRI IKULU DAR ES SALAAM

RAIS SAMIA AKIWAAPISHA MANAIBU MAWAZIRI IKULU DAR ES SALAAM

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Manaibu Mawaziri kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Dar es Salaam leo tarehe 26 Julai, 2024. Manaibu Mawaziri hao walioapa ni: Mhe. Deus Clement Sangu kuwa Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Mhe. Dennis Lazaro Londo kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki). Mhe. Cosato David Chumi kuwa Naibu Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki .