Home LOCAL RAIS SAMIA AKIWAAPISHA MAKATIBU WAKUU IKULU DAR ES SALAAM

RAIS SAMIA AKIWAAPISHA MAKATIBU WAKUU IKULU DAR ES SALAAM

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Makatibu Wakuu kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Dar es Salaam leo tarehe 26 Julai, 2024. Makatibu Wakuu hao walioapa ni: Eliakim Chacha Maswi kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Katiba na Sheria. Mary Gasper Makondo kuwa Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma. Kiseo Yusuf Nowa kuwa Katibu Tawala Mkoa wa Kilimanjaro .