Home BUSINESS GAVANA TUTUBA ATEMBELEA BANDA LA TIGO MAONESHO YA

GAVANA TUTUBA ATEMBELEA BANDA LA TIGO MAONESHO YA

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania BoT alipata maelezo kutoka kwa Agent Creation Manager wa Tigo Aisha Kisai (wapili kushoto), wakati Gavana huyo alipofanya ziara katika Banda lao, kwenye maonesho ya Sabasaba yanayoendelea Jijini Dar es Salaam.

Gavana wa Benki Kuu Emmanuel Tutuba akizungumza na wafanyakazi wa Kampuni ya simu ya Tigo alipotembelea katika Banda la Kampuni hiyo na kupata maelezo namna wanavyotoa huduma zao kwa wananchi wanaotembelea kwenye Banda lao, katika Maonesho ya Sabasaba yanayoendelea Jijini Dar

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba (kushoto), akipokea zawadi Kutoka kwa meneja mauzo wa Kampuni ya Tigo Tanzania, Emmanuel Joshua mara baada ya Gavana Tutuba kutembelea Banda la Kampuni hiyo, kwenye maonesho ya Sabasaba yanayoendelea Jijini Dar es Salaam.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here