Home BUSINESS GAVANA BENKI KUU ATEMBELEA BANDA LA TTCL MAONESHO YA SABASABA JIJINI DAR

GAVANA BENKI KUU ATEMBELEA BANDA LA TTCL MAONESHO YA SABASABA JIJINI DAR

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania BoT Emmanuel Tutuba akipata maelezo amna Mkongo wa mawasiliano wa Taifa unavyofanya kazi kutoka kwa Cecil Francis Mkurugenzi wa Miundombinu Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL wakati alipotembelea katika banda hilo  maonesho ya Sabasaba, barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam Julai 6,2024,

Afisa Itifaki na Uhusiano wa Benki Kuu ya Tanzania Bw. Innocent Mmari akipata maelezo kuhusu mifumo ya malipo wakati akipata maelelzo katika moja ya maeneo ya tehama katika banda hilo.

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania BoT Emmanuel Tutuba akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kutembelea katika banda la TTCL kwenye maonesho ya Biashara ya 48 ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya Julius Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Julai 6,2024,

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania BoT Emmanuel Tutuba akipokea zawadi mara baada ya kutembelea Banda la TTCL kwenye maonesho ya Biashara yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam Julai 6,2024,

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here