Home LOCAL MAJALIWA AONGOZA KIKAO KAZI CHA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI

MAJALIWA AONGOZA KIKAO KAZI CHA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 07, 2024 ameongoza Mkutano wa kazi wa Mawaziri na Naibu Mawaziri uliofanyika kwenye ukumbi wa Hazina, jijini Dodoma. Kikao hicho pia kimehudhuriwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko