Home LOCAL BASHUNGWA AKAGUA UREJESHAJI WA MAWASILIANO YA BARABARA YA DAR – KWA HELIKOPTA

BASHUNGWA AKAGUA UREJESHAJI WA MAWASILIANO YA BARABARA YA DAR – KWA HELIKOPTA

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa akiwa kwenye Helikopta akikagua na kujionea kazi ya urejeshaji wa mawasiliano ya barabara ya Lindi – Dar es Salaam iliyoathiriwa na mvua iliyoambatana na Kimbunga Hidaya, leo tarehe 7 Mei, 2024.

Kazi hiyo ya urejeshaji wa miundombinu ya barabara na madaraja inaendelea kufanywa na timu ya wataalamu wa Wakala ya Barabara (TANROADS) na Makandarasi.