Home LOCAL SAMIA AKUTANA NA WAZIRI MKUU WA ETHIOPIA

SAMIA AKUTANA NA WAZIRI MKUU WA ETHIOPIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri Mkuu wa Ethiopia Mhe. Abiy Ahmed Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 18 Februari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu wa Ethiopia Mhe. Abiy Ahmed Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 18 Februari, 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here