Home LOCAL MWENYEKITI WA CCM NA RAIS Dkt. SAMIA AZUNGUMZA NA VIONGOZI NA WANACHAMA...

MWENYEKITI WA CCM NA RAIS Dkt. SAMIA AZUNGUMZA NA VIONGOZI NA WANACHAMA WA MIKOA MITATU YA UNGUJA

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Viongozi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wa Mikoa mitatu ya Unguja kwenye Mkutano wa majumuisho ya ziara yake kichama uliofanyika katika ukumbi wa Dkt. Ali Mohamed Shein Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 18 Januari, 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here