Home LOCAL COMRED CHONGOLO AZINDUA MRADI WA MAJI KASEKESE KATAVI

COMRED CHONGOLO AZINDUA MRADI WA MAJI KASEKESE KATAVI

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Sehemu ya umati wa Wananchi na Wanachama wa CCM wa kata ya Kasekese wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Daniel Godfrey Chongolo alipopita kuwasalimia leo Jumanne Oktoba 3,2023 katika Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi mara baada ya kukagua mradi wa Maji Kasekese.