Home LOCAL MWENYEKITI WA CCM DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO MAALUM CHA KAMATI...

MWENYEKITI WA CCM DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO MAALUM CHA KAMATI KUU YA CCM IKULU CHAMWINO, DODOMA

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichokutana tarehe 17 Agosti 2023 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.