Home SPORTS SIMBA SC YATOKA SARE 1-1 NA ZIRA FK UTURUKI

SIMBA SC YATOKA SARE 1-1 NA ZIRA FK UTURUKI

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

KLABU ya Simba SC imetoa sare ya kufungana bao 1-1 na Zira FK ya Azerbaijan katika mchezo wake wa kwanza wa kujipima kwenye kambi yake ya kujiandaa na msimu mpya mjini Ankara nchini Uturuki.

Bao la Simba SC limefungwa na kiungo mshambuliaji, Kibu Dennis Prosper dakika ya 33 huku la Zira FK limefungwa na kiungo Rustam Alamovych Akhmedzade dakika ya 63.