Home SPORTS MUSONDA AIPA YANGA FURAHA

MUSONDA AIPA YANGA FURAHA

YANGA leo wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Huku bao pekee lilofungwa na mshambuliaji wa Kimataifa wa Zambia, Kennedy Musonda dakika ya 45.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here