Home LOCAL RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI AZUNGUMZA NA UJUMBE WA SHIRIKA LA...

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI AZUNGUMZA NA UJUMBE WA SHIRIKA LA KIMATAIFA LA CHRISTIAN BLIND MISSION IKULU ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mkurugenzi Maendeleo Jumuishi wa( CBM)Ndg.Dominique Schulkopthen baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-6-2023, na(kulia kwa Rais) Mkurugenzi Mkaazi Nchini Tanzania wa (CBM) Bi. Nesia Mahenge.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Shirika la Kimataifa la Christian Blind Mission (CBM) ukiongozwa na Mkurugenzi Mkaazi Nchini Tanzania  (kulia kwa Rais)Bi.Nesia Mahenge, Mkurugenzi Maendeleo Jumuishi wa ( CBM)Ndg.Dominique Schulkopthen na Mkurugenzi Kanda ya Afrika Mashariki na Kusini Afrika Ndg.Albert Kombo, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-6-2023.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na wageni wake Ujumbe wa Shirika la Kimataifa la Christian Blind Mission (CBM) ukiongozwa na Mkurugenzi Mkaazi Nchini Tanzania  (kulia kwa Rais)Bi.Nesia Mahenge, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-6-2023, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here