Home INTERNATIONAL BALOZI MBAROUK ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO UBALOZI WA ITALIA

BALOZI MBAROUK ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO UBALOZI WA ITALIA

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (Mb.) amesaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Italia nchini, kufuatia kifo cha Waziri Mkuu wa zamani wa Italia Mhe. Silvio Berlusconi kilichotokea tarehe 12 Juni, 2023.

Mara baada ya kusaini kitabu cha maombolezo, Balozi Mbarouk amesema Tanzania inamkumbuka Mhe. Berlusconi kwa kuimarisha uhusiano kati ya Tanzania Italia enzi za uongozi wake.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here