Home BUSINESS WANANCHI WAVUTIWA NA HUDUMA ZA TASAC, WAJITOKEZA KUPATA ELIMU KWENYE MAONESHO YA...

WANANCHI WAVUTIWA NA HUDUMA ZA TASAC, WAJITOKEZA KUPATA ELIMU KWENYE MAONESHO YA BIASHARA MTWARA

Kaimu Afisa Mfawidhi wa Mkoa wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) Mkoa wa Mtwara, Mha. Jospeh Myaka akitoa elimu kwa wananchi waliotembelea katika banda la Taasisi hiyo katika maonesho ya Biashara na Uwekezaji yanayofanyika Mkoani Mtwara.

Kaimu Afisa Mfawidhi wa Mkoa wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) (kulia) akitoa zawadi kwa wananchi mbalimbali waliotembelea kwenye Banda la Taasisi hiyo katika Maonesho hayo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here