Home LOCAL WATU 17 WAFARIKI DUNIA KWEYE  AJALI WAKISAFIRISHA MAITI

WATU 17 WAFARIKI DUNIA KWEYE  AJALI WAKISAFIRISHA MAITI

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!
Watu 14 wa familia moja na wengine 2 wamefariki Dunia katika ajali ya gari iliyotokea usiku wa kuamkia Leo Februari 4,2023 Mkoani Tanga.
Ajali hiyo imehusisha gari aina ya Mitsubishi Fuso na Coaster iliyokuwa imebeba mwili wa marehemu na abiria 26 ikitokea Dar kwenda Moshi kwenye mazishi.
Taarifa  iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Omary Mgumba leo imeeleza kuwa ajali hiyo imehusisha magari mawili na kusababisha vifo vya watu 17 na Majeruhi 12.

Aidha taaarifa hiyo imetaja chanjo cha ajali hiyo kuwa ni mwendo kasi na uzembe wa dereva fuso kulipita gari la mbele bila ya kuchukua tahadhari na kugongana na Coaster.

Taarifa  iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Omary Mgumba leo imeeleza kuwa ajali hiyo imehusisha magari mawili na kusababisha vifo vya watu 17 na Majeruhi 12.