Home Uncategorized RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAZIRI MKUU WA ETHIOPIA MHE. DKT....

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAZIRI MKUU WA ETHIOPIA MHE. DKT. ABIY AHMED, JIJINI  ADDIS ABABA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu wa Ethiopia Mhe. Dkt. Abiy Ahmed katika Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU) Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 19 Februari, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema katika Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU) Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 19 Februari, 2023.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here