Home SPORTS MOSSES, CHAMA WATUPIA SIMBA IKIICHAPA COASTAL UNION 3-0

MOSSES, CHAMA WATUPIA SIMBA IKIICHAPA COASTAL UNION 3-0

Timu ya wekundu wa msimbazi Simba SC imeendeleza ubabe wa ushindi kwa kuichapa wagosi wa kaya Costal Union jumla ya mabao 3-0 katika Dimba la Mkwakwani Jijini Tanga.

Mshambuliaji machachari wa timu ya Simba raia wa Zambia Mosses Phir ndiye mpachika mabao yote mawili yaliyopatikana katika kipindi cha pili cha mchezo huo.

Goli la kwanza la Mosses Phir lilipatikana katika dakika ya mchezo huo kwa shuti kali baada ya kumpiga chenga beki wa kati wa Costal Union.

Mosses Phir alipachika bao la pili kwa mkwaju wa penati baada ya mlinzi wa kulia wa Simba Shomari Kapombe kufanyiwa madhambi ndani akiwa katika eneo hatari la Wagosi wa kaya, Costal Union 

Goli la tatu lilifungwa na kiungo wa Simba Clatus  Chama mnamo dakika ya 87 akimalizia 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here