Home LOCAL RAIS SAMIA AHUTUBIA MKUTANO WA HADHIBYA JUU WA KUIPA UWEZO VITUO VYA...

RAIS SAMIA AHUTUBIA MKUTANO WA HADHIBYA JUU WA KUIPA UWEZO VITUO VYA NISHATI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Mkutano wa hadhi ya juu wa kuipa uwezo vituo vya Nishati pamoja na Nishati jadidifu  Kusini mwa Afrika katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Sharm El Sheikh, nchini Misri tarehe 08 Novemba, 2022.Viongozi mbalimbali wakiwa katika Mkutano wa hadhi ya juu wa kuipa uwezo vituo vya Nishati pamoja na Nishati jadidifu Kusini mwa Afrika katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Sharm El Sheikh, nchini Misri tarehe 08 Novemba, 2022.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here