Home LOCAL DAWASA YAIMARISHA HUDUMA YA MAJI MBEZI KWA YUSUFU NA KIMARA TEMBONI

DAWASA YAIMARISHA HUDUMA YA MAJI MBEZI KWA YUSUFU NA KIMARA TEMBONI

Mafundi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) wakiendelea na kazi ya kudhibiti upotevu wa maji katika bomba kuu la kusafirishia maji lenye ukubwa wa inchi 30 eneo la Mbezi kwa Yusuph.

Kazi hiyo inatarajia kukamilika leo jioni na kurejesha huduma ya maji kwa wakazi wa Mbezi kwa Yusuph hadi Kimara Temboni.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here