Home BUSINESS BRELA YAFANYA USAJILI WA PAPO KWA HAPO MAONESHO YA SIDO KANDA YA...

BRELA YAFANYA USAJILI WA PAPO KWA HAPO MAONESHO YA SIDO KANDA YA KASKAZINI ARUSHA

Baadhi ya Wananchi waliofika katika banda la Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) kupatiwa huduma za Usajili wa Majina ya Biashara wakikabidhiwa vyeti vyao na Maafisa wa BRELA, katika maonesho ya SIDO Kanda ya Kaskazini yanayofanyika katika Uwanja wa Makumbusho Jijini Arusha. Maonesho hayo yameanza tarehe 19 Oktoba, 2022 na yatahitimishwa tarehe 25 Oktoba, 2022.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here