Home LOCAL RAIS WA ZANZIBAR ALHAJI DK.HUSSEIN ALI MWINYI AJUMUIKA NA WANANCHI KATIKA KISOMO...

RAIS WA ZANZIBAR ALHAJI DK.HUSSEIN ALI MWINYI AJUMUIKA NA WANANCHI KATIKA KISOMO CHA DUA KUMUOMBEA MAREHEMU KAKA YAKE HASSAN ALI HASSAN MWINYI KILICHOFANYIKA JANA USIKU MASJID JAMIU ZINJIBAR MAZIZINI UNGUJA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Rais Mstaafu wa Tanzania Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi, wakiongoza kisoma cha hitma kumuombea Marehemu Hassan Ali Hassan Mwinyi, kilichofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja jana usiku 2-9-2022, na )kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh.Abubakar Zuberi.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Rais Mstaafu wa Tanzania Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi wakishiriki katika kuitikia dua ya kumuombea Marehemu Hassan Ali Hassan Mwinyi ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zuber, Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Sadala Mabodi.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kupokea mkono wa pole kutoka kwa Wananchi mbalimbali waliohudhiria Kisomo cha Hitma na dua ya kumuombea Marehemu Kaka yake Hassan Ali Hassan Mwinyi, kilichofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja jana usiku 2-9-2022.(Picha na Ikulu)

Previous articleWAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA MABALOZI WA UINGEREZA, SINGAPORE.
Next articleWANANCHI CHAMWINO DODOMA WAMUOMBA RAIS SAMIA ENEO LA KUCHIMBA MADINI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here