Home LOCAL NAIBU WAZIRI MOLLEL APOKEA TUZO KWA NIABA YA RAIS SAMIA KUTOKA KWA...

NAIBU WAZIRI MOLLEL APOKEA TUZO KWA NIABA YA RAIS SAMIA KUTOKA KWA CHAMA CHA WAHANDISI NA MAFUNDI WA VIFAA TIB (AMETT)

Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel (kushoto) akipokea tuzo kwa Niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan iliyotolewa na Chama cha Wahandisi na Mafundi Sanifu wa Vifaatiba (AMETT) kutokana na mchango wake wa kutoa fursa za ajira kwa wanataaluma hao pamoja na kutoa fedha nyingi kwa ajili ya ununuzi wa vifaatiba katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini. Tuzo hiyo imetolewa na Rais wa Chama hicho Mhandisi Samwel Xaday (wa kati kati) leo kwenye Mkutano Mkuu wa wanataaluma hao uliofanyika Jijini Dodoma.

Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Afya.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here