Home BUSINESS BRELA YATOA ELIMU NA HUDUMA ZA PAPO KWA HAPO MAONESHO YA BIASHARA...

BRELA YATOA ELIMU NA HUDUMA ZA PAPO KWA HAPO MAONESHO YA BIASHARA MARA.

Afisa Sheria, Bi. Neema Nyadzi kutoka Wakala wa Usajili na Biashara na Leseni (BRELA), akitoa usaidizi wa kitehama kwa Bw. Simon Kokinda namna ya kuhuisha kampuni yake alipotembelea banda la BRELA kwenye Maonesho ya Biashara ya Mara International Business Expo 2022, yanayofanyika viwanja vya Shule ya Msingi ya Mukendo, katika mji wa Musoma, mkoani Mara. BRELA inaendelea kutoa huduma kwenye maonesho hayo hadi tarehe 11 Septemba, 2022.

Afisa Leseni, Bw. Rajab Chambega kutoka Wakala wa Usajili na Biashara na Leseni (BRELA), akitoa usaidizi wa kitehama kwa Bw. Raymond Malima, namna ya kuhuisha jina la biashara alipotembelea banda la BRELA kwenye Maonesho ya Biashara ya Mara International Business Expo 2022, yanayofanyika viwanja vya Shule ya Msingi ya Mukendo, katika mji wa Musoma, mkoani Mara. BRELA inaendelea kutoa huduma kwenye maonesho hayo hadi tarehe 11 Septemba, 2022.

Afisa Sheria, Bw.Abdulkarim Nzori kutoka Wakala wa Usajili na Biashara na Leseni (BRELA), akitoa ushauri na usaidizi wa Usajili wa Alama ya Biashara kwa Bi. Judith Lughembe mzalishaji wa bidhaa ya sabuni ijulikanayo kama Just Soap, katika Maonesho ya Biashara ya Mara International Business Expo 2022, yanayofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Mukendo mjini Musoma, mkoa wa Mara. BRELA inaendelea kutoa huduma kwenye Maonesho hayo hadi tarehe 11 Septemba, 2022.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here