Home BUSINESS UZINDUZI WA KAMPENI YA “STAMICO NA MAZINGIRA AT 50” AGOSTI 10, 2022...

UZINDUZI WA KAMPENI YA “STAMICO NA MAZINGIRA AT 50” AGOSTI 10, 2022 JIJINI DODOMA

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), Dkt. Venance Mwasse (kushoto), akizungumza na wanahabari wakati akitangaza ujio wa kampeni ya upandaji miti itakayosimamiwa na shirika hilo ili kuunga mkono jitihada za Serikali katika utunzaji wa mazingira, na inajulikana kwa jina la “STAMICO NA MAZINGIRA AT 50 yenye kaulimbiu ya Panda Mti, tumia Mkaa Mbadala Rafiki Briquettes, Okoa Mazingira. Hafla hiyo imefanyika leo makao makuu ya STAMICO jijini Dar es Salaam wengine picha ni Mkurugenzi Rasilimali watu ma Utawala wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), Deusdedith Magala pamoja Meneja Masoko Uhuaiano wa shirika hilo Geofrey Meena.


Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), Dkt. Venance Mwasse akizungumza na wanahabari wakati akitangaza ujio wa kampeni ya upandaji miti itakayosimamiwa na shirika hilo ili kuunga mkono jitihada za Serikali katika utunzaji wa mazingira, na inajulikana kwa jina la “STAMICO NA MAZINGIRA AT 50 yenye kaulimbiu ya Panda Mti, tumia Mkaa Mbadala Rafiki Briquettes, Okoa Mazingira. Hafla hiyo imefanyika leo makao makuu ya Stamico jijini Dar es Salaam.

Meneja Masoko Uhuaiano wa Shirika la Madini STAMICO hilo Geofrey Meena akizungumza katika uzinduzi huo uliofanyika kwenye ofisi za shirika hilo Upanga jijini Dar es Salaam leo.
Previous articleWAZIRI NDALICHAKO AELEKEZA UKAGUZI MAALUM MATUMIZI FEDHA ZA UVIKO-19 KATIKA UKARABATI WA CHUO CHA WATU WENYE ULEMAVU YOMBO
Next articleTFRA YAWAHIMIZA WAKULIMA KUJIUNGA KATIKA MFUMO WA MBOLEA YA RUZUKU
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here