Home LOCAL NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII MHE. MASANJA AHESABIWA KATIKA ZOEZI LA...

NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII MHE. MASANJA AHESABIWA KATIKA ZOEZI LA SENSA YA WATU NA MAKAZI

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) ameshiriki katika zoezi la Sensa ya Watu na Makazi ambapo amehesabiwa katika makazi yake Wilaya ya Magu Mkoani Mwanza leo Agosti 23,2022.