Home BUSINESS NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA UWEKEZAJI, VIWANDA NA BIASHARA ATEMBELEA TAASISI ZA...

NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA UWEKEZAJI, VIWANDA NA BIASHARA ATEMBELEA TAASISI ZA WIZARA MAONESHO YA NANENANE MBEYA


Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah ametembelea baadhi ya mabanda ya Taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo kwenye maonesho ya Wakulima ya Nanenane yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya. Taasisi hizo ni pamoja na Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) na Shirika la Utafiti na Maendeleo ya Viwanda (TIRDO).Taasisi hizo zimeendelea kutoa elimu na huduma mbalimbali kwa wananchi wanaotembelea mabanda hayo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here