Home BUSINESS MKUU WA WILAYA YA KALAMBO ATEMBELEA BANDA LA BRELA

MKUU WA WILAYA YA KALAMBO ATEMBELEA BANDA LA BRELA

Mkuu wa Wilaya ya Kalambo Mhe. Tano Mwera, akisaini kitabu cha wageni katika banda la Wakala wa Usajili wa Biashara na (Leseni BRELA)alipofika katika banda hilo kupata huduma kwenye Maonesho ya Wakulima ya Nanenane yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here