Home ENTERTAINMENTS KUNDI LA BNA KUWASHA MOTO JUALAI 9 SINGIDA

KUNDI LA BNA KUWASHA MOTO JUALAI 9 SINGIDA

 

NA: MWANDISHI WETU

KUNDI la wanenguaji la BNA linatarajiwa kutoa burudani katika mkusanyiko wa wanafunzi wa sekondari wanaosoma mchepuo wa Sayansi mkoani Singida Julai 9, katika  ofisi ya mkuu wa mkoa.

Kundi hilo ambalo lina undwa na vijana watatu Billy Shana, Daniel Nchasi, Abdallah Yusuph ambao wote ni wanafunzi wa kidato cha tano mkoani Singida.

Akizungumza na ukurasa huu kiongozi wa kundi hilo Abdallah Yusuph, amesema wapo katika mandalizi ya makali kwa sababu wamepanga kutoa burudani ya kukata na shoka.

“Tuna endelea na maandalizi kwa ajili ya kwenda kutumbwiza katika mkusanyiko wa wanafunzi wa Sayansi katika ofisi za mkuu wa mkoa hii ni frusa kubwa kwetu kuonyesha vibaji vyetu na tuna ahidi kutoa burudani…

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here