Home LOCAL CHUO KIKUU CHA MBEYA CHA SAYANSI NA TEKNOLOJIA (MUST) CHAPONGEZWA KWA UBUNIFU

CHUO KIKUU CHA MBEYA CHA SAYANSI NA TEKNOLOJIA (MUST) CHAPONGEZWA KWA UBUNIFU

Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu Dkt. Francis Michael (kulia) akimsikiliza Mkuu wa Idara ya Udahili wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknoloji Dkt. Mgaza Muya (katika) wakati Katibu Mkuu huyo alipotembelea banda la Chuo hicho katika ziara yake ya kutembelea mabanda ya katika maonesho ya Vyuo Vikuu yaliyohitimishwa leo Julai 23,2022 Jijini dar es Salaam. (kushoto) ni, Mkuu wa Idara ya Ubunifu na atamizi Justine Mwakatobe.

Mkuu wa Idara ya Ubunifu na atamizi Justine Mwakatobe (kushoto) akionesha ubunifu wa kutengeneza ndege inayoruka bila rubani (NDONE) iliyobuniwa na wanafunzi wa Chuo hicho kilichopo Jijini Mbeya.

Previous articleMUHAS YADAHILI WANAFUNZI ZAIDI YA ELFU 9 TANGU KUFUNGULIWA KWA DIRISHA HILO
Next articleKATIBU MKUU DKT. FRANCIS MICHAEL AYAFUNGA RASMI MAONESHO YA VYUO VIKUU 2022 JIJINI DAR
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here